iqna

IQNA

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 4
IQNA – Moja ya hatari na madhara ya ulimi ni kile wanachuoni wa maadili ya Kiislamu wanachokiita kuzama katika uongo.
Habari ID: 3479477    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 3
IQNA – Kufurahia masaibu ya wengine ni miongoni mwa hatari za ulimi na hutokea pale mtu anapofurahi kuona msiba wa nduguye katika imani na jambo hilo linakemewa katika Uislamu.
Habari ID: 3479449    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 1
IQNA – Ulimi, sawa na viungo vingine vya mwili, ni njia ya kutenda madhambi ikiwa mwanadamu hatafuata kanuni na maamrisho ya Mwenyezi Mungu, na ni njia ya kumtii Mwenyezi Mungu ikiwa tutafuata maamrisho ya Uislamu.
Habari ID: 3479427    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13

Qur’anI na Jamii/2
IQNA – Kujikusanyia mali kwa wingi , kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, ni jambo ambalo limegawanywa katika kategoria mbili; manfuaa na madhara.
Habari ID: 3479414    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Jamii ya Qur’ani inapaswa kuwa na seti ya vipengele na muhimu zaidi ni pamoja na imani, akili, elimu, uadilifu, na wema au ukarimu.
Habari ID: 3475751    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/08